ALLERGY



ALLERGY NI NINI?

Ni hali isiyo ya kawaida inayotokea baada ya mwili kukutana na kitu nje au ndani ya mwili. Allergy inaweza kutokea baada ya kukutana na vitu kadhaa km vile vumbi, vipodozi, manyoa ya wanyama, chanjo, baridi, vyakula, vinywaji nk.

Source: carolinafamilyhealthcare.com
ATHARI ZAKE
Baadhi yake ambazo ndio kubwa na maarufu ni hizi
*  Kuvimba mwili.
*  Chafya zisizoisha.
*  Kikohozi kisichoisha.
*  Mafua yasioisha.
*  Kujikuna kila mara.
*  Kupumua kwa tabu.
*  Kutapika.
*  Kuharisha.
*  Kunyonyoka nywele. nk.

Kitu kimoja kinaweza kusababisha athari za aina tofauti kwa watu tofauti wenye Allergy.
Ulaji wa vyakula vinavyotengenezwa kwa kuongezwa kemikali za aina mbalimbali zinaathiri mwili ni moja wapo ya viini vya Allergy.

MATIBABU YAKE

MAHITAJI

  • Ndimu
  • Asali
  • Maji ya uvuguvugu

Chukua maji ya vuguvugu glasi moja kisha yakamulie ndimu nusu na tia asali safi kijiko kimoja cha chakula koroga vidhuuuuri kabithaaaa


MATUMIZI

Kunywa kinywaji chako hicho muruaaaa asubuhi kwa muda wa siku tatu hadi tano.

In shaa Allah Biidhnillah utapona.

Dawa Madhubuti na Imara ya "Mtaimbo"





Ndugu yangu mtaimbo wako ikiwa haufanyi kazi,mwembamba,mfupi,umekaa namba 7, hausimami, hauna uwezo wa kuchimba dawa nk.

Basi tafuta dawa hizi zifuatazo na jitahidi sana ndg yangu zitimie zote nazo ni:-
  • Daarfilfil,
  • Filfil abyadh,
  • Basbas jauz,
  • Zaafaran ya nyuzi,
  • Anisun,
  • Tangawizi
  • Qiswtwi,
  • Habbat sufaa,
  • Haltiti,
  • Aqirkarah,
  • Khulinjan,
  • Filfil as-wad,
  • Kakilah,
  • Mbegu za tikitimaji,
  • Mbegu za papai,
  • Kan-dar,
  • Karafuu maua,
  • Mushtak,
  • Mdalasini,
  • Haluli,
  • Habbat Barka,
  • Misk as-wad ya unga,
  • Sufa nyeupe,
  • Lozitunda,
  • Ndizi,
  • Karanga,
  • Kitunguu maji,
  • Thaumu,
  • Halba,
  • Nazi,
  • Nanaa,
  • Chumvi maskat,
  • Simsim,
  • Himswi

Ndg zangu dawa nilizozitaja sehemu ya kwanza zote hizo unatakiwa lazima ziwe unga kisha kwa kila dawa ipime kijiko kimoja cha chakula kisha baada ya kupima zote anza kuzichanganya pamoja baada ya hapo chagua moja kati ya Asali au Maji yaliyozimishiwa chuma ndani yake na ukishachagua fuata maelekezo yafuatayo

Baada ya kuchagua kimoja wapo kati ya Asali na Maji yaliyozimishiwa chuma ndani yake maelezo yake ni:-
Kwa Asali unga huo utautia ndani ya asali nyingi kidogo na hakikisha asali na dawa ufanye ziwe kama uji mzito na matumizi yake ule vijiko 2 vya chakula asubuhi na jioni yaani 2x2 mpaka iishe.
Njia ya pili chukua unga huo tia asali kidogo ufanye upate kama ugali laini kisha utachota kijiko 1 cha chakula tia ndani ya glasi ya maji yaliyozimishiwa chuma ndani yake uvuruge vizuri na uwe unakunywa 1x2 siku 5---21.
Ndg zangu kwa mahitaji ya dawa hiyo ungana nami INSHAALLAH.

Ushauri : Sehemu ya Kwanza


  1. Ktk uhai wako kama unataka uiogope hospital au daktari basi kila siku asubuhi dumu kula mchanganyiko wa kijiko kimoja kikubwa cha mafuta ya H-sauda na kijiko kimoja kikubwa cha asali uone maajabu yake.
  2. Ukitaka nishati ya siku nzima basi kunywa mafuta ya H-sauda kijiko 1 kikubwa asubuhi kila siku.
  3. Ukitaka usingizi mzuri wa rahaaa basi kunywa kijiko kimoja kikubwa cha mafuta ya H-sauda baada ya chakula cha usiku.

  4. Ukitaka kupoza maradhi yote basi dumu kutumia mafuta ya Habbat sauda



Inshaallah taalah.

Kufanya wepesi kwenye kujifungua



Ili mwanamke apate urahisi wa kujifungua pale anapohisi uchungu anashauriwa kufanya yafuatayo;
  • Kunywa asali kikombe kimoja cha kahawa
basi apendapo Allah atazaa kwa usahali na wepesi,

Baada ya kuzaa anatakiwa chakula chake kiwe ni mkate wa ngano safi {sio unga wa ngano mweupe} huku akitolea na asali.

Na kwa ajili ya kuiteremsha damu baada ya kuzaa ambayo bado imo tumboni na pia kwa ajili ya kuondosha maumivu basi anatakiwa anywe Uwatu glasi 1 iliyochemshwa na kuchanganywa na asali anywe asubuhi na jioni hakika damu na maumivu yote vitaondoka Biidhnillah.

 
Natumaini tumeelewana. 


Tafadhali usisite kutupa mrejesho  

Tiba ya Mtoto wa Jicho


 Matibabu
  1.  Chukua vilele vya Mtunguja kiasi na uvichemshe maji kiasi na uwe unamtojea ndani ya jicho x3 wiki 2.
  2. Majani ya Mzalia nyuma mabichi uyapondeponde na uyakamue na maji utakayopata mtojee ktk jicho x2 wiki 2.
  3. Dawa iitwayo Milhu Hayda Raani iloweke ktk maji kiasi kisha mtojee ktk jicho x3 wiki 2.
Dawa yoyote kati ya hizo unatakiwa ukimtojea uanze jicho ambalo halina shida kisha ndio jicho bovu.


Usisahau kurudisha mrejesho tiba hii imekusaidia kiasi gani.